Skip to main content

Kitanda Kitanda cha wagonjwa | Tanbihi | Urambazajibaby cotsReclining bedsElevation bedkuihariri na kuongeza habari

Mbegu za utamaduniVifaa


samaninyumbaAsilinenomziziutamaduniWaswahilikiunzifremuubaokichwamguunimifumbatimatendeguubaokambausumbanazinyasimkekagodorovioorangipichavitambaachandaruamtotomtukitanda cha wagonjwamahututiwazeematibabukimomiguukichwaruningachakulahospitalidaktariMjerumaniFriedrich Trendenburgvita vikuu vya kwanzatrendenburg












Kitanda




Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru






Jump to navigation
Jump to search


Kwa maana nyingine ya neno hili angalia hapa Kitanda (maana)




Kitanda cha Waswahili wa Kenya.


Kitanda ni samani ya kulala au kujipumzisha inayopatikana kwa kawaida katika kila nyumba.


Asili ya neno "kitanda" ni mzizi "-tanda".


Katika utamaduni wa Waswahili kitanda ni samani kubwa. Ina kiunzi au fremu ya ubao, yenye vitakizo viwili upande wa kichwa na mguuni vinavyoshikwa kwa mifumbati kila upande. Yote inakaa juu ya matendegu (miguu ya ubao) manne. Nafasi kati ya mifumbati inafumaniwa kwa kamba, usumba wa nazi au nyasi. Juu ya hii huwekwa mkeka au godoro. Vitakizo mara nyingi hupambwa kwa vioo vya rangi au vyenye picha. Kiunzi cha juu kinaweza kufunikwa kwa vitambaa au chandarua.


Ukubwa wa kitanda hutofautiana. Kuna kitanda kidogo cha mtoto [1], vitanda vya kawaida vya kulaliwa na mtu mmoja na pia kitanda kikubwa zaidi cha kulaliwa na watu wawili[2].



Kitanda cha wagonjwa |




Kitanda cha hospitalini kinachotumia umeme kikamilifu.




Kitanda cha wagonjwa wanaougua nyumbani kinachotumia mikono na umeme pia.


Tofauti na vitanda vingine, kitanda cha wagonjwa walio mahututi au wazee wanaopokea matibabu nyumbani ni kuwa kinaweza kubadilishiwa kimo pamoja na jinsi miguu na kichwa kilivyo. Haya hufanyika maana mgonjwa huwa haamki kwa kile kitanda na atatazama runinga au kupata chakula chake akiwa kitandani.


Muundo wa kitanda cha hospitali ambao una uwezekano kuwa chaweza kuinua kichwa au miguu ya mgonjwa[3] ulianzishwa na daktari Mjerumani Friedrich Trendenburg ambaye alikuwa akiwatibu wagonjwa wa mshuto katika vita vikuu vya kwanza. Daktari huyo alikuwa akiwaweka wagonjwa kichwa chini na miguu juu. Baadaye, kukaa huku kuliitwa trendenburg.


Pia kuna kitanda cha mwinuko "elevation bed" ambacho hutumika hasa nyumbani sana sana na watu wenye shinda ya mzunguko wa damu miguuni, wanaopata maumivu ya maungio ya mifupa na pia wanao penda starehe kitandani. Kitanda cha muinuko pia kina uwezo wa kubadili kimo kama kitanda cha wagonjwa, na la ziada, chaweza pia kubadili umbo la msingi wa kulalia na kuchukua umbo la anayekilalia. Kitanda cha muinuko cha kisasa hutumia kisengeletua/kitanza mbali (remote control) kudhibiti muinuko na umbo lake.[4]



Aina za vitanda vya wagonjwa |


Vitanda vya wagonjwa vinaweza kuainishwa mara tatu[5]:


  • 1. Kitanda kinachotumia mikono. Kitanda hiki huweza kubadilishwa kimo, kuinua kichwa na miguu kwa mikono maana kina kichuma maalumu miguuni.

  • 2. Kitanda kinachotumia kawi ya umeme. Kitanda hiki hutumia kawi za umeme au stima kufanya kazi na kubadilisha kimo, miguu na kichwa. Huuzwa kikiwa na mota ambayo husaidia kubadilisha kimo na mengineyo. Stima zikipotea, itabidi utumie mikono

  • 3. Kitanda kinachotumia kawi na mikono. Kitanda hiki hutumia mota kuinua kichwa au miguu ya mgonjwa lakini likija ni kubadilisha kimo, hutumia mikono kwa kuzungusha kijichuma.


Tanbihi |




  1. baby cots


  2. king/queen bed


  3. Reclining beds


  4. Sobyschwartz. "Elevation bed", Bedroompedia, 2018-05-24. (en-US) 


  5. [1]





Blank template.svg
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitanda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Kitanda&oldid=1036146"










Urambazaji


























(window.RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.056","walltime":"0.073","ppvisitednodes":"value":282,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":2113,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":412,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":8,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":2021,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 18.283 1 -total"," 85.86% 15.697 1 Kigezo:Reflist"," 48.08% 8.790 1 Kigezo:Cite_news"," 13.61% 2.489 1 Kigezo:Mbegu-utamaduni"," 12.42% 2.271 1 Kigezo:Languageicon"],"cachereport":"origin":"mw1306","timestamp":"20190312222752","ttl":2592000,"transientcontent":false);mw.config.set("wgBackendResponseTime":119,"wgHostname":"mw1321"););

Popular posts from this blog

Oświęcim Innehåll Historia | Källor | Externa länkar | Navigeringsmeny50°2′18″N 19°13′17″Ö / 50.03833°N 19.22139°Ö / 50.03833; 19.2213950°2′18″N 19°13′17″Ö / 50.03833°N 19.22139°Ö / 50.03833; 19.221393089658Nordisk familjebok, AuschwitzInsidan tro och existensJewish Community i OświęcimAuschwitz Jewish Center: MuseumAuschwitz Jewish Center

Valle di Casies Indice Geografia fisica | Origini del nome | Storia | Società | Amministrazione | Sport | Note | Bibliografia | Voci correlate | Altri progetti | Collegamenti esterni | Menu di navigazione46°46′N 12°11′E / 46.766667°N 12.183333°E46.766667; 12.183333 (Valle di Casies)46°46′N 12°11′E / 46.766667°N 12.183333°E46.766667; 12.183333 (Valle di Casies)Sito istituzionaleAstat Censimento della popolazione 2011 - Determinazione della consistenza dei tre gruppi linguistici della Provincia Autonoma di Bolzano-Alto Adige - giugno 2012Numeri e fattiValle di CasiesDato IstatTabella dei gradi/giorno dei Comuni italiani raggruppati per Regione e Provincia26 agosto 1993, n. 412Heraldry of the World: GsiesStatistiche I.StatValCasies.comWikimedia CommonsWikimedia CommonsValle di CasiesSito ufficialeValle di CasiesMM14870458910042978-6

Typsetting diagram chases (with TikZ?) Announcing the arrival of Valued Associate #679: Cesar Manara Planned maintenance scheduled April 17/18, 2019 at 00:00UTC (8:00pm US/Eastern)How to define the default vertical distance between nodes?Draw edge on arcNumerical conditional within tikz keys?TikZ: Drawing an arc from an intersection to an intersectionDrawing rectilinear curves in Tikz, aka an Etch-a-Sketch drawingLine up nested tikz enviroments or how to get rid of themHow to place nodes in an absolute coordinate system in tikzCommutative diagram with curve connecting between nodesTikz with standalone: pinning tikz coordinates to page cmDrawing a Decision Diagram with Tikz and layout manager